Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu

Featured Image
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
100 💬 ⬇️

Maana ya kuushinda ulimwengu

Featured Image
Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi.
100 💬 ⬇️

Mipango ya Mungu kwetu sisi wanadamu

Featured Image
Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao.
100 💬 ⬇️

Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu

Featured Image
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu. Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja.
100 💬 ⬇️

Makusudi ya Mungu kwa Kila Binadamu

Featured Image
Mungu anamakusudi na kila binadamu anayeishi duniani. Hakuna mtu aliyebora zaidi mbele ya Mungu au asiye wa thamani mbele ya Mungu kama anafwata mpenzi ya Mungu.
100 💬 ⬇️

Thamani ya Neno "Nimekusamehe"

Featured Image
100 💬 ⬇️

Mambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba

Featured Image
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini. Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote.
100 💬 ⬇️

Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu

Featured Image
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu
100 💬 ⬇️

Karibu Ujitafakari: Kwa nini Unasali na Kumuabudu Mungu? Jifunze Kitu Hapa

Featured Image
Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu! Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha? Je unasali kwa sababu ya shida na matatizo katika maisha? Je unasali kwa kuwa unaona wengine wanasali kwa hiyo unafikiri na wewe lazima usali? Soma hii, Ujitafakari
100 💬 ⬇️

Mwenendo Unaongozwa na Roho Mtakatifu

Featured Image
Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya Roho; na matakwa ya Roho hupingana na Tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamuwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe.
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About