Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti
Updated at: 2024-05-25 17:10:08 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dogo kampigia simu baba yake; DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipa nikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubeti BABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzi mkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti? DOGO : Lakini baba BABA : Lakini baba nini ngoja urudi utaona ntakachofanya. DOGO : Nilitaka kukwambia kuwa nimeshinda shilingi milioni 3 BABA : Ndio hayo ninayosema wewe mpumbavu sana kwanini hukutumia laki nzima kubeti? Si ungepata pesa nyingi zaidi? Ngoja urudi niwataarifu ndugu zako kuhusu uulivyo na akili za kuamua haraka mwanangu mpenziโฆ
Updated at: 2024-05-25 17:53:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao: 1. Mrembo wa darasa. 2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili. 3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja. 4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera. 5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi.
6. Mlafi. Huyu huwa hakatai offer. 7. Mtoro wa kudumu. Haji darasani hata km hana sababu. 8. Mchelewaji wa kudumu. Anakuja kipindi kiko katikati au kinakaribia kuisha. 9. Miss/Mr.Misifa. kila mara ataeleza the way nyumbani kwao walivyo matajiri. 10. Less talkative bt kiwembe. Jamaa mkimya bt unakuta ametembea na karibu wasichana 15 hapo class. 11. Handsome boy ambaye hana mpango na wanawake. 12.Chips addicted. Hawa wanaweza kula chips asubuhi mchana na jioni. Jumatatu hadi jumatatu. 13. Back benchers. Hawa huwa watundu sana na ni watu wa jokes. Huwa hawajibu swali, but wanasubiri wakati wa kushangilia waongeze bezi. 14. Wambea. Hawapitwi na kitu darasani na washazoea kufeli. 15. Mchungaji/Mtumishi wa Mungu, 16. Waimbaji/Wasanii, 17.Walevi 18.Mabishoo. 19. Team popo. Hawa wewe na hela wasiwe na hela wanakesha club, 20.Mwenye aibu kusimama mbele za watu. Wakati wa Presentation anakimbilia kusimama nyuma ya wenzie, 21. Viherehere. Hawa mara nyingi hutokea kupendwa sana na waalimu. 22. Wanaosoma ili kushindana kwny GPA. 23. Kupe. Huyu boom likitoka atawaganda wenzie hadi ziishe, halafu yeye anaanza kula zake alone. 24. Wise man/woman. Huyu huwa ni mtu anayeaminika na kila mtu darasani. Hutumika sn kushauri pale mambo yanapoenda mrama. Mara nyingi huwa ni mtu mzima. 25.mpenda supu" yeye hata ya nyani atakunywa tu. 26.Fix man. Huyu atakuomba jero, akafuatilie dili la milioni kumi town, kumbe hana hela ya chai. 27. Photocopy machine. Huyu ukimuonesha majibu kwny mtihani anaweza kucopy hadi jina lako. ๐ฅUsposema wewe uko namba ngapi mwngine atakusema๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Mume akamwambia mke wake:
"Funga macho yako tufanye maombi"
Akaanza kwa Kimombo:-
"โฆ Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4โฆ."
Updated at: 2023-04-29 22:53:26 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Mume akamwambia mke wake: "Funga macho yako tufanye maombi" Akaanza kwa Kimombo:- "โฆ Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4โฆ."
Mke akadakia, "Unadhani mimi sina ee" akaanza:- I pray 4 Felix, I pray 4 Temu, I pray 4 Rweyemamu, I pray 4 Masawe, I pray 4 Benson, I pray 4 Onyango, I pray 4 Swai, I pray kwa wote niliowasahau!! Chezea mchepukoโฆ!!
Updated at: 2024-05-25 18:00:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtoto:ย Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.
Baba:ย Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwananguโฆ..
Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani โช
Updated at: 2024-05-25 17:08:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,
Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.