Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:57:33 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanzaโฆโฆ. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iwejeโฆ.anapenda sms zaidi 7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika. 8.Muda mwingi ni mtu wakujihami. 9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara. 10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta dial no haraka. 11.Always yuko na simuโฆ..hadi bafuni ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simuโฆ.anajishtukia. 13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi 14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa Share na washikaji zako๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 18:12:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!๐ ๐ ๐ ๐
Updated at: 2024-05-25 17:51:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Lakini sisi wanaume hatuko fair โฆ Yani demu anang'ng'ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. ๐๐๐mungu anatuona jaman๐๐๐๐๐๐Makeup ya matako iletwe
Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
Updated at: 2024-05-25 17:11:31 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani. Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate? House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeeโฆโฆthe pasuka paaaaaaaa ๐๐๐๐hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika