Log in to access your menu with tools for managing 📝 tasks, 👥 clients, 💰 finances, 📖 learning, 🔍 personal growth, and 🌟 spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:01:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu. "Nimesema stakii,stakii tena unikome"😳😳
Nami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vile "Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"☹
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO Sipendag ujuinga mim
Updated at: 2024-05-25 18:00:42 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!
Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzako…..Shenz mkubwa mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!
Updated at: 2024-05-25 17:57:33 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza……. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iweje….anapenda sms zaidi 7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika. 8.Muda mwingi ni mtu wakujihami. 9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara. 10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta dial no haraka. 11.Always yuko na simu…..hadi bafuni ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu….anajishtukia. 13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi 14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa Share na washikaji zako😜😜😜😜😜
Updated at: 2024-05-25 17:15:01 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake 😂😂😂😂😂😂😂