Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake

Featured Image
Mtoto ni wa baba au wa mama? Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto. MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
237 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Featured Image
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Cheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani

Featured Image
Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa. Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao. Wakapelekwa msituni wakaambiwa kila mmoja aende kwa njia yake halafu arudi na matunda kumi ya kufanana.
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini

Featured Image
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

Featured Image
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake

Featured Image

Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME - mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

ย 

236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa

Featured Image
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi

Featured Image
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?

Featured Image
237 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa

Featured Image

MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"

236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About