Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Analia kilichompata huyu jamaa baada ya kubadili jinsia yake kichawi

Featured Image

Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…

Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.

 

237 💬 ⬇️

Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao

Featured Image
237 💬 ⬇️

Kingereza sio mchezo, angalia huyu anavyojichanganya

Featured Image
236 💬 ⬇️

Cheki huyu mtoto anachosema

Featured Image
236 💬 ⬇️

Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga

Featured Image
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…"
236 💬 ⬇️

Eti kwani wewe ni turubali?

Featured Image
237 💬 ⬇️

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

Featured Image

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku

JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa 

236 💬 ⬇️

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

Featured Image
236 💬 ⬇️

Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia

Featured Image
236 💬 ⬇️

Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Featured Image
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako… Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
236 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About