Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 15:22:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote maishani mwangu.
Ujumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu
Updated at: 2024-05-25 15:25:47 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Updated at: 2024-05-25 15:37:32 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:22:17 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushika daima.
Updated at: 2024-05-25 15:24:28 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
SMS ya Birthday ya kumtakia mpezi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa
Updated at: 2024-05-25 15:26:36 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dear siku zimekaribia, miaka โฆโฆ utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.