Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu

Featured Image
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu. Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja.
100 💬 ⬇️

Kugundua Huruma ya Mungu: Kupata Amani ya Ndani

Featured Image
Kugundua Huruma ya Mungu: Kupata Amani ya Ndani ni njia rahisi ya kufurahia maisha. Tumia muda wako kujifunza jinsi ya kugundua upendo wa Mungu na ujaze moyo wako na furaha tele.
50 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Karama ya Upatanisho na Ukarabati

Featured Image
Huruma ya Mungu ni kama mvua ya baraka, inayomwagika na kuondoa kila tope la dhambi. Hii ni karama ya upatanisho na ukarabati, ambayo inaleta furaha na amani moyoni.
50 💬 ⬇️

Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa

Featured Image
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
100 💬 ⬇️

Tafakari Upendo Mkuu wa Mungu kwa Mwanadamu

Featured Image
Karibu tutafakari Upendo Mkuu wa Mungu Kwa Wanadamu. Soma tuone namna Mungu alivyotupenda sana.
100 💬 ⬇️

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 💬 ⬇️

Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu

Featured Image
Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mungu Kuishi Kitakatifu na kufikia Ukamilifu. Mambo haya yanaweza yakaonekana sio dhambi au makosa kwa mtu lakini ni vikwazo kwa mtu kufikia Ukamilifu hasa anaposhindwa kuyajua na kuyaepuka. Wengi wanajiona kwamba wako salama lakini kumbe wako katika dhambi.
100 💬 ⬇️

Nguvu na Umuhimu wa Upendo

Featured Image
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu
100 💬 ⬇️

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Featured Image
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
100 💬 ⬇️

Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo

Featured Image
Wakati wa Kukomunika kila mtu anampokea Yesu kwa namna alivyojiweka tayari. Vile ulivyojiandaa ndivyo na Yesu anakuja kwako.
101 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About