Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Maswali na Majibu kuhusu Mapokeo ndani ya Kanisa Katoliki

Featured Image
Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Kanisa Katoliki

Featured Image
Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria? Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidi wanaposali kupitia Bikira Maria kwani Bikira Maria anatuombea kile tunacho mwomba. Bikira Maria anasimama Kama mwombezi wetu mbele ya Mungu hasa pale tunaposhindwa kusali Inavyotakiwa.
50 💬 ⬇️

Amri ya Nane ya Mungu: Makatazo na Amri

Featured Image
Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru tuseme ukweli na tulinde heshima ya wengine. (Mt 5:37, Yak 5:12).
50 💬 ⬇️

Mafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu

Featured Image
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.
100 💬 ⬇️

Amri ya Tatu ya Mungu: Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu

Featured Image
Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu:- 1. Kushiriki Misa Takatifu siku ya Jumapili na Sikukuu zote za Amri 2. Kuacha kazi nzito na 3. Kutenda matendo mema
50 💬 ⬇️

Amri Kumi za Mungu: Mambo ya Msingi unayopaswa kufahamu

Featured Image
Haya ni Mafundisho Muhimu kuhusu Amri kumi za Mungu unayopaswa kufahamu.
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu msamaha na rehema?

Featured Image
Ni muhimu kujua imani ya Kanisa Katoliki kuhusu msamaha na rehema. Kupitia sakramenti ya toba, tunaweza kupokea msamaha wa dhambi zetu na kupata neema za Mungu. Jisikie huru kuomba msamaha na ujisikie mwenye furaha kwa upendo wa Mungu.
50 💬 ⬇️

Amri za Kanisa: Mambo ya Muhimu kujua na Kuzingatia

Featured Image
Amri za kanisa ni; 1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa. 2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu 3.Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka. 4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pasaka 5. Saidia Kanisa Katoliki kwa zaka 6. Shika sheria Katoliki za ndoa.
50 💬 ⬇️

Maswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao

Featured Image
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba? Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
50 💬 ⬇️

Amri ya Kumi ya Mungu: Makatazo na Amri

Featured Image
Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru kuheshimu mali ya wengine na kumpenda Mungu kupita vitu vyote
50 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About