Bwana Afya wa Porini
Kitendawili.....
Bwana Afya wa Porini
Updated at: 2024-05-23 14:17:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitendawili...
Bwana Afya wa Porini
Onesha Jibu Fisi
Read more
Close
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?
Updated at: 2024-05-23 14:17:00 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitendawili...
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
Onesha Jibu JIBU: Chumvi
Read more
Close
Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS
Updated at: 2024-05-23 14:17:02 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS
Onesha Jibu MMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnne, Tano, Sita…
Read more
Close
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa
Updated at: 2024-05-23 14:17:06 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa
Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Read more
Close
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Updated at: 2024-05-23 14:17:02 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitendawili...
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Onesha Jibu JIBU: Uyoga
Read more
Close
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako?
SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?
Updated at: 2024-05-23 14:16:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?
Onesha Jibu JIBU: Inawezekana kama wote mmegeuziana Migongo
Read more
Close
Unanitizama nimekupiga?
Unanitizama nimekupiga?
Updated at: 2024-05-23 14:17:01 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitendawili...
Unanitizama nimekupiga?
Onesha Jibu JIBU: Kujikwaa
Read more
Close
Je, glass ina Maji kiasi gani?
SWALI: Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?
Updated at: 2024-05-23 14:17:06 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
SWALI: Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?
Onesha Jibu JIBU: Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.
Read more
Close
Namkata lakini hakatiki
Namkata lakini hakatiki
Updated at: 2024-05-23 14:17:00 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kitendawili...
Namkata lakini hakatiki
Onesha Jibu JIBU: Maji
Read more
Close
Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
Updated at: 2024-05-23 14:17:06 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
Onesha Jibu JIBU: Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi. IV = Nne V = Tano V ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)
Read more
Close