Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Updated at: 2024-05-27 06:44:50 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Kuongea maana yake ni kusema na Kusikiliza. Sala sio kuongea tuu, sala ni kuongea na kusikiliza. Mungu anatualika tuongee nae kwa kusema na kusikiliza.
Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu imani na matendo?
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-07-16 11:49:18 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Kanisa Katoliki linahimiza imani na matendo kama kiungo kikuu cha maisha ya Kikristo! Kwani unapotenda mema, huonyesha imani yako kwa vitendo na hivyo kumtukuza Mungu. Karibu tujifunze zaidi!
Amri ya Tano ya Mungu: Kutunza uhai wetu na wa watu wengine
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:45:30 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Katika Amri ya Tano ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tutunze uhai wetu na wa watu wengine tangu mwanzo hadi mwisho. (Mwa 4:10-11)
Kwa nini ni lazima kutunza uhai wetu na wa wenzetu?
Kwa sababu uhai wa watu wote umetoka kwa Mungu
Updated at: 2024-05-27 06:44:58 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?
Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.
Maswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:45:39 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba?
Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha kuwa tunaweza kuwaombea wafu ili wapate neema na amani ya Mungu?
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-07-16 11:49:22 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Mungu wetu ni Mwenye rehema na neema zake hazina kikomo. Na ndio maana, kanisa katoliki linatuhimiza kuwaombea wafu ili wapate amani ya Mungu. Hivyo, hatuna budi kufuata mfano wa Mungu wetu na kuwaombea wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki. Kwa hakika, hii ni habari njema kwa wale wote wanaompenda Mungu na kufuata mafundisho ya kanisa katoliki.
Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maisha ya watoto wachanga?
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-07-16 11:49:17 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Ni muhimu sana kuelewa imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maisha ya watoto wachanga. Kanisa linatambua kila maisha kama takatifu na inahimiza kulinda na kuheshimu uhai wa watoto wote, bila ubaguzi. Kwa hivyo, Kanisa linaamini kwamba watoto wachanga wana haki sawa na wengine na wanapaswa kulindwa na kuheshimiwa kama wanadamu wote.
Maswali na Majibu kuhusu Sanamu katika Kanisa Katoliki
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:44:49 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba?
Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu familia na ndoa?
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-07-16 11:49:13 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Ni wakati wa furaha, familia na ndoa ni nguzo za msingi. Lakini je, unajua imani ya Kanisa Katoliki kuhusu hili? Hapo ndipo tunapoanza safari yetu ya kujifunza!
Mambo ya muhimu kujua kuhusu Sakramenti ya Kipaimara
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:45:08 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Sakramenti ya Kipaimara ni nini?
Ni Sakramenti yenye kumpa Mkristu Roho Mtakatifu na ukamilifu wa mapaji yake saba, kumfanya mkristu mkamilifu na kumwandika Askari hodari wa Yesu Kristo Mpaka Kufa
Mambo ya Msingi kufahamu kuhusu Ndoa ya Kikatoliki
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:44:52 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamoja kitakatifu wakiwalea watoto wao katika utakatifu
Je, Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi upendo na huruma kwa wengine kama Kristo alivyofanya?
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-07-16 11:49:14 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
"Upendo na Huruma: Misingi ya Imani ya Kanisa Katoliki" Kanisa Katoliki linawahimiza waamini wake kuishi kama Kristo alivyofanya kwa kuwa na upendo na huruma kwa wengine. Kwa kuwa Mungu ni upendo, tunapaswa kuonyesha upendo huo kwa kila mtu tunayekutana nao. Je, wewe ni mmoja wa waamini hao? Jiunge nasi katika kujenga jamii yenye upendo na huruma!
Updated at: 2024-05-27 06:44:47 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Ufufuko wa wafu maana yake nini?
Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele.
Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Ibada ya Kanisa Katoliki
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:45:37 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
Amri ya Kwanza ya Mungu: Mambo Muhimu ya Kuzingatia
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-27 06:45:20 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tusadiki kuwa Mungu ni mmoja, ndiye Baba yetu na Mkubwa wetu: tumpende, tumwabudu yeye peke yake. (Mt 10:33, Kumb 6:4-9)
Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani?
Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema
Updated at: 2024-05-27 06:45:41 (2 years ago by DIN - Melkisedeck Leon Shine)
Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria?
Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidi wanaposali kupitia Bikira Maria kwani Bikira Maria anatuombea kile tunacho mwomba. Bikira Maria anasimama Kama mwombezi wetu mbele ya Mungu hasa pale tunaposhindwa kusali Inavyotakiwa.