Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Mjini shule. Soma hii

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.

Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!

Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsAppโ€ฆ!

_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._

โ€”
_*Kisha nikaituma ile message*_

Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yakeโ€ฆ Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.

*Akatuma message akiniulizaโ€ฆ*

_Hao wanawake unawajuwa, โ€ฆmume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweliโ€ฆ!_

Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaaโ€ฆ!

Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaaโ€ฆ! Akaniandikia message nyingineโ€ฆ.

*โ€ฆNakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupeโ€ฆ Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuriโ€ฆ!*

Nami nikamjibuโ€ฆ

_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipoโ€ฆ!_

Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdaiโ€ฆ!

Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaaโ€ฆ. Kama sio mie!

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 237

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Victor Malima Guest Oct 19, 2021
Hizi jokes ni za ukweli! ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Monica Lissu Guest Oct 5, 2021
๐Ÿ˜‚ Hii ni kali sana!
๐Ÿ‘ฅ Baridi Guest Oct 3, 2021
๐Ÿคฃ Ninashiriki hii sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Tabitha Okumu Guest Sep 24, 2021
Mna kipaji cha ucheshi! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kabura Guest Sep 13, 2021
๐Ÿ˜‚ Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
๐Ÿ‘ฅ Ramadhan Guest Sep 1, 2021
Nimependa hii! Endelea kuzileta! ๐Ÿ˜
๐Ÿ‘ฅ Grace Njuguna Guest Aug 27, 2021
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Sarah Achieng Guest Aug 2, 2021
Hii imenipa furaha ya siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Leila Guest Jul 9, 2021
๐Ÿ˜„ Umeimaliza kabisa!
๐Ÿ‘ฅ Edward Chepkoech Guest May 26, 2021
Umetisha! ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Husna Guest May 24, 2021
๐Ÿ˜‚ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
๐Ÿ‘ฅ Alice Wanjiru Guest May 20, 2021
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Philip Nyaga Guest May 16, 2021
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! ๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Lucy Mahiga Guest May 12, 2021
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Patrick Akech Guest May 7, 2021
Kweli mnajua kuchekesha watu! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Grace Mushi Guest Apr 26, 2021
๐Ÿ˜‚ Nalia kwa kweli hapa!
๐Ÿ‘ฅ Lucy Mushi Guest Apr 4, 2021
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Mary Mrope Guest Mar 24, 2021
Nimecheka hadi machozi yanatoka! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Agnes Njeri Guest Mar 22, 2021
Nimecheka hadi machozi yanatoka! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Grace Minja Guest Feb 18, 2021
Hii imenibamba sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Mazrui Guest Feb 2, 2021
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ David Chacha Guest Jan 27, 2021
Asante Ackyshine
๐Ÿ‘ฅ David Sokoine Guest Jan 20, 2021
Kweli ni jokes za ukweli! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Diana Mumbua Guest Jan 16, 2021
Hii ni kali sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Agnes Njeri Guest Dec 11, 2020
Napenda jinsi mnavyofikiria! ๐Ÿค”๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Peter Mwambui Guest Dec 6, 2020
Napenda jokes zenu! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ David Musyoka Guest Nov 19, 2020
Hii imenikuna! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Yusra Guest Nov 7, 2020
๐Ÿ˜† Kali sana!
๐Ÿ‘ฅ Leila Guest Oct 25, 2020
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! ๐Ÿ˜œ
๐Ÿ‘ฅ Martin Otieno Guest Oct 17, 2020
๐Ÿ˜„ Umeshinda mtandao leo!
๐Ÿ‘ฅ Stephen Kangethe Guest Oct 10, 2020
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Elizabeth Malima Guest Sep 25, 2020
Hii imenikumbusha enzi zile! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Grace Minja Guest Sep 10, 2020
๐Ÿคฃ Hiyo punchline ilikuwa haikutarajiwa!
๐Ÿ‘ฅ Henry Sokoine Guest Sep 9, 2020
Hii imenifurahisha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Victor Mwalimu Guest Sep 6, 2020
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Janet Sumaye Guest Sep 3, 2020
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Violet Mumo Guest Aug 18, 2020
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ๐Ÿ‘๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Samuel Omondi Guest Aug 13, 2020
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Janet Mwikali Guest Jul 30, 2020
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Nicholas Wanjohi Guest Jul 29, 2020
Hii imenifurahisha sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Ali Guest Jun 22, 2020
๐Ÿ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
๐Ÿ‘ฅ Kheri Guest Jun 14, 2020
๐Ÿ˜‚ Nacheka hadi nalia!
๐Ÿ‘ฅ Esther Cheruiyot Guest Jun 11, 2020
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Michael Onyango Guest Jun 1, 2020
๐Ÿคฃ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
๐Ÿ‘ฅ Alice Mwikali Guest May 24, 2020
๐Ÿ˜† Hiyo punchline ilikuwa kali!
๐Ÿ‘ฅ Lydia Wanyama Guest May 21, 2020
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! ๐ŸŽ‰
๐Ÿ‘ฅ Samson Tibaijuka Guest May 15, 2020
๐Ÿ˜† Hiyo punchline!
๐Ÿ‘ฅ Victor Kimario Guest May 12, 2020
Hii ni joke ya kipekee sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Frank Sokoine Guest Apr 19, 2020
๐Ÿ˜„ Kali sana!
๐Ÿ‘ฅ Diana Mallya Guest Apr 12, 2020
Nimecheka hadi nimesahau shida! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Henry Sokoine Guest Apr 12, 2020
Hii ni joke ya ukweli kabisa! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Grace Mushi Guest Apr 11, 2020
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Peter Mugendi Guest Apr 7, 2020
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Simon Kiprono Guest Apr 6, 2020
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Paul Ndomba Guest Mar 10, 2020
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Linda Karimi Guest Feb 22, 2020
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Moses Kipkemboi Guest Jan 16, 2020
Hii joke ni ya kufurahisha! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Maimuna Guest Jan 9, 2020
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Patrick Mutua Guest Jan 5, 2020
๐Ÿ˜… Bado nacheka!
๐Ÿ‘ฅ Peter Mbise Guest Dec 11, 2019
Hii ni ya kufurahisha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜„

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About