Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza muuzaji,βHuna mkubwa zaidi?β Muuzaji akamchukua yule kuku na kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu akamtoa tena kwenye friji na kumrudisha kwenye mzani, safari hii akagandamiza mzani kwa gumba, kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdada akasema βDuh afadhali huyu mkubwa kidogo,Β naomba unifungie nawachukua wote wawiliβ
Mamaaaaa muuzaji sijui atatoa wap kuku wa piliπ
π π π π π Hapo ndipo utagundua kwa nini MUWA co TUNDA πΆπ½πΆπ½
jamaa kaingia mskitini akauliza jamani nani mwislam apa wot kmy akachukua moja akatokanae njenae akamwambia nataka unichinjie mbuzi yule shehe akamchinjia shehe akasema mimi naweza kuchinja ila kuchuna sjui sika upanga wako katafu mule shehe mwingine anajua kuchuna jamaa akalud mskitini naule upanga ukiwa unatililika dam akasema jamani nauliza tena nani mwislam watu walivona vile wakajua mwenzao atakua amechinjwa imam akasema bwana yesu asifiwe wote milele amina ABU AP
π₯Ibrahim
Guest
Jul 23, 2024
π Ninakufa hapa!
π₯Charles Wafula
Guest
Jul 18, 2024
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
π₯Joy Wacera
Guest
May 10, 2024
Hii imenikuna! ππ
π₯Mwalimu
Guest
May 1, 2024
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
π₯Salum
Guest
Mar 29, 2024
π Hii ni ya kuhifadhi!
π₯John Kamande
Guest
Mar 15, 2024
π Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
π₯Mary Sokoine
Guest
Mar 10, 2024
Nimefurahia sana hii joke! π π
π₯Guest
Guest
Oct 14, 2025
"Β₯""Β₯"""Β₯"
msione niko kimya
niko mbinguni "naangalia hidadi yawatu
watakao ufikia mwaka 2026 lakini wewe unaesoma hapa jinalako silioni sasa napatashida kwel kulitafuta
"najalibu kumwambia bwana IZRAERi akuandike amesema anataka rushwa
kama una hata /=10000 nitumie akuandike chapu sivyo utaishia mwaka 2025
0681305278 ABU APA
π₯Christopher Oloo
Guest
Feb 22, 2024
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
π₯Martin Otieno
Guest
Feb 16, 2024
π Kichekesho kamili!
π₯Edward Chepkoech
Guest
Jan 17, 2024
ππ€£ππ
π₯Janet Mbithe
Guest
Jan 16, 2024
π Siwezi kuacha kucheka!
π₯Janet Wambura
Guest
Jan 5, 2024
Hii imenichekesha sana! π€£π
π₯Samuel Omondi
Guest
Dec 18, 2023
Hii ni joke ya ukweli kabisa! ππ€£
π₯Dorothy Mwakalindile
Guest
Dec 17, 2023
π Nacheka hadi chini!
π₯Joseph Kiwanga
Guest
Nov 9, 2023
Hii imenifurahisha sana! π€£π
π₯David Musyoka
Guest
Oct 26, 2023
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
π₯Baraka
Guest
Oct 15, 2023
π€£ Nalia kwa kicheko kweli!
π₯Mary Sokoine
Guest
Sep 23, 2023
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
π₯Arifa
Guest
Sep 21, 2023
π Siwezi kuacha kucheka!
π₯Stephen Malecela
Guest
Sep 20, 2023
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! π€£
π₯Josephine Nekesa
Guest
Sep 1, 2023
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
π₯Thomas Mwakalindile
Guest
Sep 1, 2023
π Kali sana!
π₯Mary Kendi
Guest
Aug 13, 2023
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! π
π₯Fredrick Mutiso
Guest
Aug 11, 2023
π€£ππ
π₯Janet Mwikali
Guest
Jul 28, 2023
Umesema kweli! ππ
π₯Lydia Mutheu
Guest
Jul 22, 2023
π πππ
π₯Betty Kimaro
Guest
Jul 21, 2023
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ππ
π₯Mwanais
Guest
Jul 16, 2023
π Nilihitaji kicheko hiki, asante!
π₯Michael Mboya
Guest
Jul 1, 2023
π Kichekesho gani!
π₯Victor Malima
Guest
May 19, 2023
π Bado ninacheka!
π₯Peter Mwambui
Guest
May 13, 2023
Hii imenibamba sana! π π€£
π₯Francis Mrope
Guest
Apr 30, 2023
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
π₯Nicholas Wanjohi
Guest
Apr 28, 2023
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! π
π₯Joseph Mallya
Guest
Apr 25, 2023
Hii imenikuna hadi nina furaha! ππ
π₯Hassan
Guest
Apr 12, 2023
π Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
π₯Martin Otieno
Guest
Apr 1, 2023
π Nilihitaji kicheko hicho!
π₯Robert Ndunguru
Guest
Mar 19, 2023
Hii imenibamba sana! ππ
π₯Rose Mwinuka
Guest
Feb 28, 2023
Hii imenifurahisha kweli! ππ
π₯Hellen Nduta
Guest
Feb 10, 2023
π Hiyo punchline ilikuwa kali!
π₯Anna Mahiga
Guest
Jan 10, 2023
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβimebamba! π€£
π₯Frank Macha
Guest
Dec 10, 2022
Hizi jokes ni za kipekee sana! ππ
π₯Betty Kimaro
Guest
Nov 12, 2022
ππ€£ππ
π₯Moses Kipkemboi
Guest
Oct 1, 2022
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
π₯Sharon Kibiru
Guest
Sep 7, 2022
π Bado nacheka!
π₯Andrew Odhiambo
Guest
Sep 7, 2022
π Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
π₯Sarafina
Guest
Aug 30, 2022
π€£ Kichekesho bora kabisa!
π₯John Malisa
Guest
Aug 10, 2022
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! ππ
π₯Diana Mallya
Guest
Jul 30, 2022
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
π₯David Ochieng
Guest
Jul 13, 2022
Kweli ni jokes za ukweli! ππ
π₯Andrew Odhiambo
Guest
Jul 10, 2022
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
π₯Ann Wambui
Guest
Jul 6, 2022
π Umeshinda mtandao leo!
π₯Susan Wangari
Guest
Jun 23, 2022
Napenda jinsi mnavyofikiria! π€π
π₯Daniel Obura
Guest
Jun 22, 2022
πππ
π₯Fikiri
Guest
Jun 12, 2022
π€£ Ninaituma sasa hivi!
π₯James Malima
Guest
Apr 3, 2022
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
π₯Rose Waithera
Guest
Mar 15, 2022
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! ππ
π₯Charles Wafula
Guest
Feb 26, 2022
Haha, hii ni kicheko bora zaidi nilichopata wiki hii! π