Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi ...
Read More
Je, Ni Vipi Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa? πβ¨
Karibu rafiki yangu!...
Read More
Mara nyingine siyo rahisi kujiepusha na vishawishi vya kujamiiana bila kutumia kondomu kutokana n...
Read More
Sifa Bora za Mwanamke: Jinsi ya Kumvutia Msichana Sahihi
Kila mwanaume anatamani kumpata m...
Read More
Kila mwanaume anataka kuwa na tarehe ya kipekee na ya kusisimua na msichana. Lakini, wakati mwing...
Read More
Kupata msichana ambaye anashiriki malengo yako na ana maslahi sawa nawe ni muhimu sana kwa mafani...
Read More
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wak...
Read More
Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwan...
Read More
Je, Ni Sahihi Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba? πΌπ
Tunaelewa kwamba vijana wetu ni kikun...
Read More
Nifanyeje Kuelewa Hatari na Faida za Ngono kabla ya Kuanza? ππ₯π
Karibu kijana! Le...
Read More
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofa...
Read More
Kufanya mapenzi wakati msichana yuko katika hedhi hakuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume wala ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!