Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Karibu kwenye makala hii kuhusu swali la iwapo inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ...
Read More
Watu huogopa kujaribu vitu au mambo ambayo hawajayazoea
au yale ambayo yapo tofauti. Jinsi u...
Read More
Habari wapendwa wasomaji, leo tutaangazia swali muhimu sana ambalo wapenzi wengi hujiuliza. Je, k...
Read More
Ubakaji kamwe siyo kosa linalomhusu yeye aliyebakwa; ni kosa
linalomuhusu yeye aliyebaka. Un...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kuelewa na kuheshimu dini na imani za mwenza wako kuhusu ngono/kufanya mapenz...
Read More
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwan...
Read More
Kila mwanaume anataka kuwa na tarehe ya kipekee na ya kusisimua na msichana. Lakini, wakati mwing...
Read More
Kondomu ya kike inafahamika kwa jina la โcareโ na โLady Petetaโ. Hapa Tanzania hazipatika...
Read More
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisi...
Read More
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingi
ya kabila, rangi, dini, kimo au h...
Read More
Hakuna jibu la ujumla kwa swali hili, kwa sababu tiba ya ugumba inategemea chanzo maalum cha ugum...
Read More
Ndiyo, vidonge vya kuzuia mimba ni lazima vimezwe kila siku hata kama hufanyi ngono siku hiyo. Ku...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!