Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/katoliki/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Nikitafuta rafiki kwa nia ya kuoana (mchumba), je ni sifa gani niangalie kwa msichana/mvulana?

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Kuchagua mchumba ni moja ya maamuzi ambayo kijana anahitaji kuyafanya kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa sababu huyo ndiye atakayekuwa mwenzi wake wa maisha. Katika kuchagua mchumba kila mtu ana mawazo yake kuhusiana na kilicho muhimu kuzingatiwa. Mara nyingi mhemuko una nguvu zaidi kuliko uamuzi wa kimantiki

Hata hivyo, vifuatavyo ni kati ya vigezo ambavyo vinaweza kuangaliwa:

β€’ Chagua mtu anayekuheshimu wewe na wengine; Chagua mtu unayemwamini; β€’ Chagua mtu ambaye unaweza kuongea, kujadiliana, na kuhojiana naye kwa uwazi bila kugombana; β€’ Chagua mtu mwenye umri unaokaribiana na wa kwako; β€’ Chagua mtu anayependelea vile unavyopendelea; β€’ Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yuko tayari kukusaidia kuyatatua; na β€’ Chagua mtu mwenye afya nzuri. Hii inamaanisha pia kumpata mtu ambaye kabla ya kuanza kujaamiana naye, atakuwa tayari kwenda kupima kwa hiari kujua hali yake ya VVU na pia kuwa tayari kutumia kinga kwa maana ya kondomu hadi hapo mtakapojua hali zenu. Wafahamishe wazazi wako mtu uliyemchagua kama mchumba na mtambulishe kwao i ili wamfahamu na yeye awafahamu wazazi wako. Wakati huohuo na wewe jaribu kuwafahamu wazazi wake. Usifanye uchumba wa haraka. Pata muda wa kutosha kumwelewa rafiki yako.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Vidokezo vya Kuonyesha Shukrani kwa Msichana Wako

Vidokezo vya Kuonyesha Shukrani kwa Msichana Wako

Hivi karibuni, wanaume wengi wamekuwa wakikosa jinsi ya kuonyesha shukrani kwa msichana wao. Hata... Read More

Je, ngono/kufanya mapenzi inaathiri furaha ya uhusiano wa kimapenzi?

Je, ngono/kufanya mapenzi inaathiri furaha ya uhusiano wa kimapenzi?

Je, ngono/kufanya mapenzi inaathiri furaha ya uhusiano wa kimapenzi?

Haya ni maswali mengi... Read More

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni... Read More

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?

Si kweli kabisa! Baada ya kuvuta bangi mtu hujiona kama jasiri sana na mwenye nguvu. Lakini madha... Read More

Je, watu wanapendelea kutumia muda mwingi katika mchezo wa hatua wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, watu wanapendelea kutumia muda mwingi katika mchezo wa hatua wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Habari yako rafiki, leo tutajadili kuhusu swali linaloulizwa sana kuhusu watu kwa nini wanapendel... Read More

Je, ni njia gani zinaweza kuleta hisia za kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, ni njia gani zinaweza kuleta hisia za kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, ni njia gani zinaweza kuleta hisia za kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Swali hili lin... Read More

Kufikia mshindo au kufika kileleni kwa mwanamke na mwanamme wakati wa kufanya mapenzi

Kufikia mshindo au kufika kileleni kwa mwanamke na mwanamme wakati wa kufanya mapenzi

Je, mwanamke anaweza kufikia mshindo?

Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kuj... Read More
Njia za Kuunda Maisha ya Kusisimua na Msichana

Njia za Kuunda Maisha ya Kusisimua na Msichana

Njia za Kuunda Maisha ya Kusisimua na Msichana

Kuwa msichana ni nzuri, lakini kuwa msichan... Read More

Je, watu wanapendelea kujaribu michezo wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Je, watu wanapendelea kujaribu michezo wakati wa ngono/kufanya mapenzi?

Habari zenu wapenzi wa blog hii! Leo tutaangazia swali moja la kuvutia sana ambalo huenda linawas... Read More

Kwa nini mara nyingine uume hausimami?

Kwa nini mara nyingine uume hausimami?

Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisi... Read More
Vidokezo vya Kuwa na Tarehe ya Kimapenzi na Msichana

Vidokezo vya Kuwa na Tarehe ya Kimapenzi na Msichana

Kama wewe ni miongoni mwa wanaume wanaotaka kuwa na tarehe ya kimapenzi na msichana, kuna vidokez... Read More

Je, muda wa kufanya ngono/kufanya mapenzi ni muhimu?

Je, muda wa kufanya ngono/kufanya mapenzi ni muhimu?

Je, muda wa kufanya ngono/kufanya mapenzi ni muhimu? Hili ni swali ambalo huwa linawasumbua wapen... Read More

πŸ“– Explore More Articles | ✍🏻 Re-Write Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About