Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/katoliki/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Nifanye nini ili kuepuka kubakwa na mpenzi/ rafiki?

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Kuna baadhi ya vidokezo ambavyo vinaweza kukusaidia: 1. Usikae faragha na mwenzi wako kabla hujawa tayari na kumwamini. Ongozana na marafiki wengine hasa mwanzoni mwa urafiki wenu. Msitoke tu nyie wawili hadi hapo utakapojisikia kuwa umemjua kiasi cha kumwelewa na kumwamini. Pia jiepushe kukaa sehemu za faragha naye. 2. Kama utatoka naye, hakikisha kuwa kuna mtu anayejua mnakokwenda na ni muda gani unakusudia kurudi nyumbani. Ikiwezekana kuwa na namba ya simu ya mmoja kati ya rafiki zako. Hii itakusaidia kama ikijitokeza hali ya kutaka msaada. 3. Usikubali yeye alipe gharama zote. Ni vizuri kugawa gharama hizo kati yenu. Kama mtakwenda kwenye tamasha au kupata kinywaji hakikisha kulipia nusu ya hizo gharama. Ukifanya hivyo utamzuia mwenzio mawazo ya kukufikiria โ€œkuwa anakudai ngonoโ€œ kama malipo ya pesa yake aliyotumia. 4. Ni vizuri kutafakari na kuweka kichwani kabla ya kwenda naye popote juu ya nini unachotaka na kile usichotaka kitokee. 5. Onyesha wazi kuwa unaposema โ€œhapanaโ€œ unamaanisha โ€œhapanaโ€œ usimpe nafasi ya kuchukulia hiyo โ€œhapanaโ€œ kuwa ndiyo. 6. Amini hisia zako. Kama unaona unalazimishwa usisite kueleza maoni yako / unavyojisikia. Ikibidi ondoka sehemu hiyo.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya

Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:
Watu ... Read More

Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?

Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?

Katika masuala ya athari za mimba katika umri mdogo ni
kwamba vijana Albino hawana tofauti n... Read More

Madhara ya pombe kwa mwili na akili

Madhara ya pombe kwa mwili na akili

Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamoja
na kwenye ubongo wako. Ina madhara... Read More

Madhara ya sigara na pombe kwa mtoto

Madhara ya sigara na pombe kwa mtoto

Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!

Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid... Read More

Kwa nini watu wanakunywa pombe?

Kwa nini watu wanakunywa pombe?

Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani.

Watu h... Read More

Ugumba wa mwanamke unasababishwa na nini?

Ugumba wa mwanamke unasababishwa na nini?

Ugumba wa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kupata mimba. Kama kwa wanaume kuna mambo mengi ... Read More

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?

Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo ... Read More

Je, wazazi ambao wote ni Albino wanaweza kupata mtoto ambaye siyo Albino?

Je, wazazi ambao wote ni Albino wanaweza kupata mtoto ambaye siyo Albino?

Kwa kawaida, wazazi wote wakiwa Albino watazaa mtoto
Albino. Kwa maana hiyo basi, iwapo watu... Read More

Je, watu wanpendelea kutumia njia za asili za kupanga uzazi?

Je, watu wanpendelea kutumia njia za asili za kupanga uzazi?

Karibu kwenye makala hii kuhusu kwa nini watu wanapendelea njia za asili za kupanga uzazi. Kupang... Read More

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti ha... Read More

Kwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?

Kwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?

Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.
Wazazi, ndugu zenu, rafiki zen... Read More

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo b... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles | โœ๐Ÿป Re-Write Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About