Kujamiiana au kufanya mapenzi salama
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.
Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Leo tutazungumzia kuhusu vidokezo vya kuonyesha heshima kwa ndugu za msichana wako. Kama mwanaume...
Read More
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa w...
Read More
Jinsi ya Kujifunza Kujiheshimu na Kuheshimu Wengine kuhusu Ngono ππ
Karibu sana kija...
Read More
Jinsi ya Kuepuka Kuingiliwa na Maswala ya Ngono katika Uhusiano
Karibu kwenye makala hii a...
Read More
Unapokwenda kwenye tarehe ya kwanza na msichana, ni muhimu sana kufikiria njia za kufanya tarehe ...
Read More
Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono Katika Mahusiano? πΌ
Habari za leo...
Read More
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu ...
Read More
Watu huogopa kujaribu vitu au mambo ambayo hawajayazoea
au yale ambayo yapo tofauti. Jinsi u...
Read More
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu n...
Read More
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume c...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri wa Kujihusisha na Ngono? π
Karibu kija...
Read More
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.
Madhara mengi yanampata mvutaji kwani ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!