​tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda​

Konda- bibi twende sit kibao ata utalala

Bibi - oooh sawa mjukuu

Konda - simama tu apo wanashuka mbele

Bibi - akacheka sana tu

Konda- mbona unacheka bibi

Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele

Watu- simamisha gar

Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma😆😆😅😂😂