Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu.β
β"Nimesema stakii,stakii tena unikome"βπ³π³
βNami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vileβ
β"Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"ββΉ
πππππππππ
ββMIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZOβ
Sipendag ujuinga mim