Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
By SW - Melkisedeck Shine |
April 24, 2023
Kuna miezi 12 katika mwakaā¦siku 30 katika mweziā¦siku 7 katika wiki, masaa 24 katika sikuā¦dakika 60 katika saaā¦ā¦ lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.