Wewe ni mng’arao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.