Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda.