Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishinawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi