Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu "UHALI GANI MPENZI?"