naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafunguanafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wanguilikutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yakompenzi.nakupenda sana laazizi