Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunianzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langukwako ni nuru daima halizimiki.