Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyowangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu nimachozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozinihaitochuruzika ila mishipani… .