Uamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi change