SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
JIBU: Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.IV = NneV = TanoV ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)