Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa. Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate? Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka. Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa, Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali mchana. Chezea mgeni ww.!!!