Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.

Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.

Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako

Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.

kanisa zima hoi,