kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda weweni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama nimapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zotemaishani mwangu.