Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 16:53:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..π
2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..π
3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia nawe ni MMAMAAβ¦ππ
4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..π . 5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..π . 6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMAβ¦ . ππππππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:14:55 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!ππππππ
Updated at: 2024-05-25 18:11:45 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beibβ¦ BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!! MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu Alafu Wakafanya Nini Hawa Nguruweβ¦ DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Za kikaziβ¦ MAMA: Kwa Hasira Babako Amesema Uwache Kuongea Na Chakula Mdomoni We Kweli Mpumbavu sanaβ¦
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwakoβ¦
Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Updated at: 2024-05-25 18:03:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwakoβ¦
Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au�
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
Updated at: 2024-05-25 17:08:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ
Updated at: 2024-05-25 18:10:22 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu π³π³π³π³π³