Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? .
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini⦠Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? .
MFUGAJI: Huwa nawaanzia siku na uji wa ulezi, halafu mikate, mchana ugali kwa kabeji na usiku viazi . MWANAHARAKATI: Loh watu wanakufa kwa njaa wewe unalisha nguruwe, akapigwa fainiβ¦.siku chache baadae wakaja wanaharakati wa Mazingira . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? . MFUGAJI: (Kwanza akasita kidogo) Hawa huwa nawapa shilingi alfu tano kila mmoja kila siku halafu wao wenyewe wanaenda kununua chakula wanachokitaka.. .