KUMBUKA
Kumbuka ee Bikira mwenye rehema, haijasikika kamwe kwamba ulimwacha mtu aliyekimbilia ulinzi wako, akiomba msaada wako, akitaka umwombe.
Nami kwa matumaini hayo, nakukimbilia ee mama, mkuu wa mabikira, ninakuja kwako, ninasimama mbele yako, nikilalamika mimi mkosefu ewe mama wa neno la mungu, usiyakatae maneno yangu, mbali uyasikilize kwa wema na unitimizie Amina.
Miriam Mchome (Guest) on October 15, 2017
ðŸ™â¤ï¸ðŸ’– Tumshukuru Mungu kwa yote
Nicholas Wanjohi (Guest) on May 16, 2017
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Irene Akoth (Guest) on April 13, 2017
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Ann Wambui (Guest) on March 31, 2017
ðŸ™â¤ï¸ Mungu ni mkombozi
Anna Mchome (Guest) on March 20, 2017
ðŸ™âœ¨ Neema ya Mungu iwe nawe
Janet Sumaye (Guest) on March 10, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Peter Mwambui (Guest) on February 9, 2017
Nguvu hutoka kwa Bwana
Patrick Akech (Guest) on January 30, 2017
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Emily Chepngeno (Guest) on August 29, 2016
Imani inaweza kusogeza milima
Paul Ndomba (Guest) on August 19, 2016
ðŸ™âœ¨ðŸ’– Mungu atajibu maombi yako
Nancy Komba (Guest) on August 7, 2016
ðŸ™âœ¨ Mungu atupe nguvu
Thomas Mwakalindile (Guest) on June 12, 2016
Tumaini ni nanga ya roho
Peter Tibaijuka (Guest) on April 14, 2016
ðŸ™ðŸ’– Mungu wetu asifiwe
Mwanajuma (Guest) on March 13, 2016
ðŸ™ðŸ™ðŸ™
Anna Sumari (Guest) on January 28, 2016
ðŸ™ðŸŒŸ Neema za Mungu zisikose
Miriam Mchome (Guest) on January 6, 2016
Sifa kwa Bwana!
Margaret Anyango (Guest) on October 19, 2015
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Rose Mwinuka (Guest) on September 11, 2015
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Christopher Oloo (Guest) on September 10, 2015
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Ruth Kibona (Guest) on August 4, 2015
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Ann Awino (Guest) on June 5, 2015
ðŸ™ðŸŒŸ Mbarikiwe sana
Edith Cherotich (Guest) on May 24, 2015
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Benjamin Masanja (Guest) on May 4, 2015
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia