Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.
Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.
Mwalimu akauliza tena, βNi lini mara ya mwisho umemwambia mumeo βNakupenda Mpenziβ?
Majibu yalikuwa kama ifuatavyo:
Wengine wakisema Asubuhi ya leo,
Wengine jana,
Wengine wiki iliyopita
Wengine mwezi uliopita
Na wengine wakasema hawakumbuki!
Mwalimu aliwapa kazi kila mwanasemina achukue simu yake na kumtumia mume wake meseji yenye neno βNAKUPENDA MPENZIβ
Baada ya meseji kwenda aliwaamuru kubadilishana simu kila mtu na jirani yake.
Kila mwanasemina aliambiwa kusoma meseji za majibu kwenye simu aliyoshika
Simu ya 1 β βSamahani, nani mwenzanguβ!
Simu ya 2 β βSamahani, wrong numberβ!
Simu ya 3 β βSi nimekuambia usinitumie messages kwenye namba hiiβ!
Simu ya 4 β βMh! leo mvua itanyeshaβ!
Simu ya 5 β βNikija tutaongea zaidiβ!
Simu ya 6 β ββ¦β¦Imedhibitishwa umepokea Tsh300,000 kutoka kwa β¦β¦β!
Simu ya 7 β βMe tooβ!
Simu ya 6 β βHuu ujumbe ndio ulikuwa unamtumia huyo hawara yako ee, leo utanikomaβ!
Chum (Guest) on December 19, 2019
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Edith Cherotich (Guest) on November 18, 2019
Nimecheka kwa sauti! π€£π€£
Stephen Amollo (Guest) on November 12, 2019
Hii imenifurahisha sana! π€£π
Lydia Wanyama (Guest) on November 7, 2019
Nimecheka hadi nina furaha sana! π€£π
Moses Mwita (Guest) on October 15, 2019
π Kicheko bora ya siku!
Mashaka (Guest) on October 9, 2019
π€£ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
Nancy Komba (Guest) on October 8, 2019
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Moses Kipkemboi (Guest) on October 6, 2019
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ππ
Alex Nyamweya (Guest) on October 1, 2019
Hii imenifurahisha kweli! ππ
Betty Cheruiyot (Guest) on September 29, 2019
Umetisha! ππ
John Kamande (Guest) on September 29, 2019
ππ€£ππ
Nchi (Guest) on September 28, 2019
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Mariam (Guest) on September 23, 2019
π Nacheka hadi chini!
Betty Akinyi (Guest) on August 28, 2019
π€£π€£ππ
Violet Mumo (Guest) on August 25, 2019
Hii imenifurahisha sana! ππ
Mariam Kawawa (Guest) on August 9, 2019
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ππ
Grace Mligo (Guest) on August 6, 2019
π ππ
Stephen Mushi (Guest) on August 3, 2019
Kweli mnajua kuchekesha watu! π€£π
Victor Sokoine (Guest) on August 1, 2019
π Ninacheka sana sasa hivi!
Amir (Guest) on July 21, 2019
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Lydia Wanyama (Guest) on June 29, 2019
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Betty Akinyi (Guest) on June 5, 2019
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! π
Elizabeth Malima (Guest) on May 14, 2019
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
Aziza (Guest) on May 6, 2019
π Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
James Kimani (Guest) on April 18, 2019
π πππ
Josephine Nduta (Guest) on April 16, 2019
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! ππ€£
Peter Mbise (Guest) on March 27, 2019
Hii ni joke ya kufurahisha sana! ππ
Michael Mboya (Guest) on March 13, 2019
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! π
Jackson Makori (Guest) on March 13, 2019
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Habiba (Guest) on March 2, 2019
π Bado nacheka!
Edward Chepkoech (Guest) on February 28, 2019
Hii joke ni ya kufurahisha! π€£π€£
Peter Tibaijuka (Guest) on February 24, 2019
π Nalia kwa kweli hapa!
Halimah (Guest) on February 16, 2019
π Sikutarajia hiyo ikitokea!
Shabani (Guest) on February 16, 2019
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! π€£
Lydia Mzindakaya (Guest) on December 21, 2018
ππ€£ππ
Janet Mbithe (Guest) on November 6, 2018
ππ
Issack (Guest) on October 19, 2018
π Dhahabu ya vichekesho!
Abubakar (Guest) on September 22, 2018
π Bado nacheka!
Mercy Atieno (Guest) on September 17, 2018
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Raphael Okoth (Guest) on September 15, 2018
Haha, hii ni ya kuhifadhi! π
Robert Okello (Guest) on September 8, 2018
π Bado nacheka!
Samson Mahiga (Guest) on September 5, 2018
π Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
Francis Mtangi (Guest) on August 27, 2018
Hizi jokes ni za kipekee sana! ππ
Simon Kiprono (Guest) on July 17, 2018
π Kichekesho kamili!
Henry Sokoine (Guest) on July 11, 2018
Nimecheka hadi mbavu zinauma ππ
Rose Kiwanga (Guest) on May 25, 2018
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Salum (Guest) on April 28, 2018
π€£ Hii imewaka moto!
Violet Mumo (Guest) on April 22, 2018
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Jamal (Guest) on April 3, 2018
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! β°
Benjamin Kibicho (Guest) on February 16, 2018
ππ ππ
Nancy Kabura (Guest) on February 4, 2018
πππ π
Hassan (Guest) on January 22, 2018
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! π
Edward Lowassa (Guest) on January 21, 2018
Hii imenikuna hadi nina furaha! ππ
Andrew Mchome (Guest) on December 11, 2017
ππ€£ππ
Michael Mboya (Guest) on December 11, 2017
π Hii imenichekesha kwa sauti kweli!
Samuel Omondi (Guest) on December 5, 2017
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! π
Grace Wairimu (Guest) on December 4, 2017
Hii ni ya kufurahisha sana! ππ
David Musyoka (Guest) on November 20, 2017
ππ
Patrick Kidata (Guest) on October 9, 2017
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Elizabeth Malima (Guest) on September 27, 2017
Mna kipaji cha ucheshi! ππ