KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: September 15, 2016
Author: Melkisedeck Leon Shine
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia! chezea ajira ww"β¦β¦β¦!!
ππππππππππ»ππ»ππ»ππ»
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kich...
Read More
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita t...
Read More
Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma bar...
Read More
βtulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka...
Read More
Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema "asiyempenda YESU a...
Read More
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua ...
Read More
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumban...
Read More
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI
jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" a...
Read More
HAHAHAHAHAAAAAA DUH TAMAA MBAYA
Muokota makopo katika uokotaji wak...
Read More
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Mustafa (Guest) on September 4, 2017
π Dhahabu ya vichekesho!
Henry Sokoine (Guest) on September 1, 2017
Hii ni joke ya ukweli kabisa! ππ€£
George Mallya (Guest) on September 1, 2017
Hii imenifurahisha kweli! ππ
Elizabeth Malima (Guest) on August 5, 2017
π Hii ni ya kuhifadhi!
Simon Kiprono (Guest) on July 21, 2017
Hii imenikuna hadi nina furaha! ππ
Benjamin Kibicho (Guest) on July 14, 2017
π Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Rabia (Guest) on July 8, 2017
π Hiyo punchline ilikuwa kali!
Stephen Malecela (Guest) on June 4, 2017
π Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
Shukuru (Guest) on April 29, 2017
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Francis Mtangi (Guest) on April 24, 2017
π Umenishika vizuri!
Edward Lowassa (Guest) on April 16, 2017
π Ninaihifadhi kwa baadaye!
Ruth Wanjiku (Guest) on March 21, 2017
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Joyce Aoko (Guest) on March 5, 2017
ππ€£π
David Musyoka (Guest) on March 2, 2017
Mna talent ya jokes! ππ
Nora Lowassa (Guest) on March 1, 2017
ππ€£ππ
Vincent Mwangangi (Guest) on February 19, 2017
ππ
Simon Kiprono (Guest) on February 13, 2017
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Lydia Mahiga (Guest) on February 11, 2017
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
David Chacha (Guest) on February 7, 2017
π Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Esther Nyambura (Guest) on February 4, 2017
π Nacheka hadi chini!
Anna Mahiga (Guest) on February 3, 2017
π€£ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
Betty Akinyi (Guest) on December 28, 2016
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Dorothy Mwakalindile (Guest) on December 27, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Stephen Amollo (Guest) on December 14, 2016
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! π€£π
Raphael Okoth (Guest) on October 17, 2016
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! π
Diana Mallya (Guest) on October 4, 2016
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ππ€£
Victor Kamau (Guest) on September 19, 2016
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! β°
David Musyoka (Guest) on August 22, 2016
π€£π€£π
Mwanajuma (Guest) on July 24, 2016
π Ninakufa hapa!
Paul Ndomba (Guest) on June 19, 2016
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! ππ
James Malima (Guest) on May 14, 2016
πππ€£
Josephine Nduta (Guest) on May 13, 2016
Nimependa hii! Endelea kuzileta! π
Sarah Mbise (Guest) on May 5, 2016
π€£ Hiyo twist mwishoni, ingawa!
James Malima (Guest) on May 1, 2016
Nimecheka hadi nina furaha sana! ππ
Sarah Mbise (Guest) on April 25, 2016
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! π
Frank Macha (Guest) on March 12, 2016
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Janet Sumaye (Guest) on March 9, 2016
π Siwezi kuacha kucheka!
Betty Akinyi (Guest) on February 28, 2016
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Edwin Ndambuki (Guest) on February 26, 2016
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! ππ
Elizabeth Mrema (Guest) on February 21, 2016
Nimecheka hadi mbavu zinauma ππ
Mercy Atieno (Guest) on February 15, 2016
π€£π€£ππ
Sarah Karani (Guest) on February 8, 2016
ππππ
Mwafirika (Guest) on January 16, 2016
π Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
Joy Wacera (Guest) on December 5, 2015
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Chris Okello (Guest) on November 2, 2015
π ππ
Lydia Mahiga (Guest) on October 23, 2015
π πππ
Paul Kamau (Guest) on September 29, 2015
π€£ππ
Lucy Mushi (Guest) on September 10, 2015
Nimecheka hadi nina furaha sana! π€£π
Thomas Mwakalindile (Guest) on August 18, 2015
π Bado nacheka!
Stephen Kangethe (Guest) on August 11, 2015
Kama kawaida! Bado nacheka! π
Hassan (Guest) on July 2, 2015
π Ninashiriki mara moja!
Nora Kidata (Guest) on June 22, 2015
π€£ Ujuzi wa hali ya juu!
Biashara (Guest) on May 27, 2015
Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! π°
Stephen Mushi (Guest) on April 27, 2015
Hii imenibamba sana! π π€£
Robert Okello (Guest) on April 13, 2015
Hii ni joke ya kipekee! π€£π
Chris Okello (Guest) on April 3, 2015
Hii ni ya maana sana! ππ