Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari, ili kumthibitishia mkewe kuwa Bakari ndo culprit,
boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali. Siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.
Boss:- Bakariiii!
Bakari:- Naam baba!
Boss:- Nani anakunywa wine yangu?
Bakari:- Kimyaaaa hajibu kitu! Boss:- Bakariiiii !
Bakari:- naam baba! Boss:- nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
Bakari:- kimyaaaaa!
Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni.
Boss: Kwanini nikikuita unaitikia, nikikuuliza unanyamaza?
Bakari: Baba huku jikoni ndo kulivyo, unasikia jina tu likiitwa lakini maneno menginehusikii, na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni.
Bakari akaenda sebuleni akaanza kuita.
Bakari:Babaa!
Boss: Naam Bakari!
Bakari: Saa sita usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
Boss:- kimyaaaa!
Bakari:- Baba babaa!
Boss:- Ndio Bakari!
Bakari:- Nauliza hivii, chumbani kwa house girl saa sita za usiku huwa wafuata nini?
Boss:- kimyaaaaaaa!
Boss akatoka nje: Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu zaidi ya jina!.
Mama akasema msinizingue nyieβ¦Mbona siwaelewi..
Bakar: mama kama uamini na ww nenda uone.
Mama akaenda jikoni..
Bakari: akaita mamaa
Mama : bee bakari
Bakari: eti hiyo mimba niya baba au yangu.?
Mama kimya
Bakari; mama nakauliza tena hiyo mimba niyababa au yangu.
Mama akatoka aisee kweli humu unasikia jina tuβ¦..πππππ
George Tenga (Guest) on April 30, 2017
ππ
Margaret Anyango (Guest) on April 29, 2017
Nimefurahia hii sana! ππ
Peter Mbise (Guest) on February 20, 2017
ππ€£ππ
Robert Ndunguru (Guest) on February 17, 2017
Hii imenibamba sana! ππ
Jane Muthui (Guest) on January 26, 2017
π Ninacheka sana sasa hivi!
Charles Mboje (Guest) on December 20, 2016
ππππ
Mariam Hassan (Guest) on December 17, 2016
Huyu mtu ni mcheshi sana! ππ
Mchawi (Guest) on December 13, 2016
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! π€£
Mohamed (Guest) on December 1, 2016
π Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
Philip Nyaga (Guest) on November 25, 2016
π€£π₯π
Samson Mahiga (Guest) on November 12, 2016
π€£ Ninashiriki hii na kila mtu!
Joyce Mussa (Guest) on November 4, 2016
πππ π€£
Grace Mligo (Guest) on October 30, 2016
π πππ
George Mallya (Guest) on October 29, 2016
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
John Kamande (Guest) on September 19, 2016
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ππ
Umi (Guest) on August 9, 2016
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβimebamba! π€£
Omar (Guest) on July 20, 2016
π Lazima nihifadhi hii!
Jane Malecela (Guest) on June 24, 2016
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
Victor Mwalimu (Guest) on June 21, 2016
Hii imenifurahisha sana! ππ
Mwinyi (Guest) on June 18, 2016
π Hiyo punchline!
Monica Lissu (Guest) on June 9, 2016
Hii ni bomba sana! π€£π
James Malima (Guest) on May 27, 2016
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ππ
Kenneth Murithi (Guest) on May 8, 2016
Ucheshi wa hali ya juu! ππ
George Mallya (Guest) on April 7, 2016
π Siwezi kuacha kucheka!
Stephen Kangethe (Guest) on March 25, 2016
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Shamsa (Guest) on March 22, 2016
π Nacheka hadi chini!
Zakia (Guest) on March 1, 2016
π€£ Sikutarajia hiyo!
Brian Karanja (Guest) on February 24, 2016
Kama kawaida! Bado nacheka! π
Monica Adhiambo (Guest) on February 24, 2016
Hii ni joke ya kufurahisha sana! ππ
Yusuf (Guest) on February 16, 2016
π€£ Nalia kwa kicheko kweli!
Simon Kiprono (Guest) on February 7, 2016
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Joseph Kitine (Guest) on December 21, 2015
Napenda jinsi mnavyofikiria! π€π
Samuel Were (Guest) on December 16, 2015
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! π
Hashim (Guest) on December 11, 2015
π Naihifadhi hii!
Josephine (Guest) on November 20, 2015
π Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
Victor Sokoine (Guest) on October 17, 2015
π Ninashiriki mara moja!
Stephen Kikwete (Guest) on October 16, 2015
Nimefurahia sana hii joke! π π
George Wanjala (Guest) on October 8, 2015
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! ππ
Monica Adhiambo (Guest) on October 3, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Mariam Kawawa (Guest) on October 1, 2015
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! π
James Kawawa (Guest) on September 21, 2015
π€£ππ
Nancy Kabura (Guest) on September 14, 2015
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Athumani (Guest) on September 5, 2015
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! π
David Sokoine (Guest) on August 7, 2015
ππ
Mazrui (Guest) on July 26, 2015
π Hii ni ubunifu wa hali ya juu!
Grace Minja (Guest) on June 29, 2015
Hii ni kali sana! ππ€£
Sarah Achieng (Guest) on June 17, 2015
Kweli ni jokes za ukweli! ππ
Lydia Mutheu (Guest) on June 9, 2015
π€£ Hii imenigonga vizuri!
Moses Mwita (Guest) on June 8, 2015
π Kali sana!
Nicholas Wanjohi (Guest) on May 17, 2015
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Wilson Ombati (Guest) on May 13, 2015
π Hii ni hazina ya kichekesho!
Lucy Mahiga (Guest) on May 5, 2015
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Edward Lowassa (Guest) on May 4, 2015
ππ€£ππ
Mzee (Guest) on April 30, 2015
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! π
Francis Mrope (Guest) on April 28, 2015
π€£ππ
Yusuf (Guest) on April 12, 2015
Haha, hii ni kicheko bora zaidi nilichopata wiki hii! π