Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_196aa780770fd8942fb487ab63a361b3, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema
Date: May 27, 2016
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.
Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.
Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.
Kitale katikati yake ukila utaridhika.
Matamu na maji yake hukata kiu haraka.
Weupe watui lake lina ladha ukipika.
Kupaka mafuta yake mwili hulainika.
Na kwenye machicha yake kazi nying hufanyika.
Hata na upepo wake uvumapo utacheka.
Sikijui kitu chake kipi kisichotumika.usiku mwema
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_196aa780770fd8942fb487ab63a361b3, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja
niijuayo nikumtumia mapenz...
Read More
mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,mapenz...
Read More
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
...
Read More
Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familia
Pendo la kweli humaanisha, kupenda kwel...
Read More
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu ...
Read More
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeeRead More
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakur...
Read More
Nakuomba usiondoke, bali ubaki nami
Kwani wewe ndiye kamilisho la maisha
Ya...
Read More
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu ni
kubwa, hakuna ambaye anaw...
Read More
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo
tambua yupo anayekuwaza ,...
Read More
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni
majani, ningekupa msitu. Ma...
Read More
Grace Minja (Guest) on December 21, 2015
Nakupenda kwa dhati, na kila siku ninayoishi ni kwa ajili ya kukufanya uhisi furaha. Wewe ni sababu ya kila kitu kizuri maishani mwangu, na naahidi kukutunza daima π₯°π.
Nancy Kawawa (Guest) on December 20, 2015
Unapokuwa mbali nami, hisia zangu hukosa mwelekeo, kama boti iliyo baharini bila dira. Lakini sauti yako ni upepo unaoniongoza kurudi kwako, mahali ambapo moyo wangu unahisi nyumbani. Nakuhitaji karibu nami, kwa sababu wewe ndiye unayetoa maana kwa kila hatua ninayochukua πΆπ¬οΈ. Bila wewe, maisha yangekuwa kama bahari isiyo na mwangaza, lakini unapokuwa karibu, kila kitu kinapata mwangaza wa kipekee. Nakupenda kwa kila sekunde ya maisha yangu na ninatamani kuwa nawe milele πποΈ.
Grace Minja (Guest) on November 18, 2015
Kila mara ninapofikiria kuhusu maisha yetu ya baadaye, naona picha yenye furaha na amani. Wewe ni sababu ya ndoto hizo, na natamani kuzitimiza zote nawe πΌοΈπ.
Nora Lowassa (Guest) on November 3, 2015
Wewe ni zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza. Upendo wangu kwako ni wa kina kirefu, kama bahari isiyo na mwisho. Ninakushukuru kwa kunifanya nijue uzuri wa upendo wa kweli πβ€οΈ. Kila siku ninayokuwa nawe ni baraka, na sitaki kamwe kuacha kuwa na wewe. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na najua kuwa tutakuwa na furaha na upendo wa milele ππ.
Grace Wairimu (Guest) on August 11, 2015
Moyo wangu unajua lugha moja tu, nayo ni lugha ya upendo kwako. Kila pumzi ninayovuta ni ahadi nyingine ya kukupenda zaidi, bila kujali hali gani inakuja. Upendo wetu ni imara kama mlima, hauna mwisho β€οΈπ¨
Mary Kendi (Guest) on July 27, 2015
Kila wakati ninapokushika mkono, nahisi kama nimepata hazina kubwa zaidi duniani. Wewe ni sababu ya furaha yangu, na nakushukuru kwa kunifanya nijihisi mfalme katika ufalme wa upendo π€π. Kila dakika ninayokuwa nawe, najua kuwa niko mahali pazuri zaidi duniani. Nakupenda zaidi ya vile maneno yanavyoweza kueleza ππ.
George Mallya (Guest) on July 21, 2015
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu; wewe ni sehemu ya roho yangu. Upendo wako ni zawadi ya thamani ambayo imenifanya nijue maana halisi ya maisha. Wewe ni kila kitu kinachonifanya nihisi furaha na amani ππ€. Nakushukuru kwa kuwa nami, kwa kunifanya niamini katika upendo wa kweli. Nakupenda zaidi ya vile neno lolote linavyoweza kueleza ππ.
Ann Wambui (Guest) on July 18, 2015
Wewe ni zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza. Upendo wangu kwako ni wa kina kirefu, kama bahari isiyo na mwisho. Ninakushukuru kwa kunifanya nijue uzuri wa upendo wa kweli πβ€οΈ.
Samuel Were (Guest) on June 21, 2015
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu; wewe ni sehemu ya roho yangu. Upendo wako ni zawadi ya thamani ambayo imenifanya nijue maana halisi ya maisha. Wewe ni kila kitu kinachonifanya nihisi furaha na amani ππ€. Nakushukuru kwa kuwa nami, kwa kunifanya niamini katika upendo wa kweli. Nakupenda zaidi ya vile neno lolote linavyoweza kueleza ππ.
Sarafina (Guest) on June 13, 2015
Nakupenda zaidi ya vile neno \\\'upendo\\\' linaweza kueleza. Wewe ni zaidi ya mpenzi; wewe ni sehemu ya nafsi yangu, sehemu ambayo siwezi kuishi bila ππ.
Robert Ndunguru (Guest) on June 7, 2015
πππ Wewe ni wangu
Edward Lowassa (Guest) on May 13, 2015
Nakutazama naona maisha yaliyojaa furaha na amani. Wewe ni zawadi ya kipekee ambayo siwezi kueleza jinsi ilivyo ya thamani, lakini najua kuwa sitawahi kuacha kuithamini ππ. Kila siku niliyokuwa nawe ni baraka, na najua kuwa hatimaye tutafurahia maisha ya pamoja. Nakushukuru kwa kunifanya nijue maana ya furaha ya kweli. Wewe ni kila kitu nilichotamani maishani mwangu ππ«.
Sofia (Guest) on May 6, 2015
Wewe ni mshirika wangu wa maisha, rafiki yangu wa dhati, na mpenzi wangu wa milele. Nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kukupenda na kwa kunifanya nijihisi mwenye bahati ππ. Wewe ni kila kitu nilichowahi kutamani, na najua kuwa maisha yetu yatakuwa yenye furaha na upendo wa milele. Nakupenda kwa namna isiyoelezeka, na natamani kuwa nawe kila siku ya maisha yangu ππ«.
Diana Mumbua (Guest) on May 1, 2015
ππΉπ