Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_1497c66143498c4b398bfb95d29db683, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia
Date: March 27, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viamba upishi
Ngogwe Β½ kg
Kitunguu 2
Bamia ΒΌ kg
Karoti 2
Mafuta vijiko vikubwa 8
Maji vikombe 3 Mayai 2
Nyanya 2
Chumvi
Hatua
β’ Osha, menya na katakata nyanya na vitunguu.
β’ Osha, menya na kata karoti virefu virefu.
β’ Osha, kata ncha za bamia pande zote na kama ndefu sana kata
vipande viwili.
β’ Osha, kata vikonyo vya ngongwe, kama ni kubwa kata vipande viwili.
β’ Kaanga vitunguu, ongeza nyanya, korogoa mpaka zilainike.
β’ Ongeza ngogwe, karoti, bamia na chumvi, koroga mpaka
zionekane kukolea rojo.
β’ Ongeza maji vikombe 2 koroga na funikia kwa dakika 10-15 au
mpaka ziive. Punguza moto.
β’ Koroga mayai kwenye maji mpaka iwe kama maziwa, ongeza
kwenye mboga na koroga polepole usiponde ngogwe wala bamia
kwa dakika 5.
β’ Onya chumvi, pakua za moto kama kitoweo.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_1497c66143498c4b398bfb95d29db683, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mahitaji
Nyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kilo
Maharage - 3 vikombe
Mahin...
Read More
Wakati mwingine mtu unakuwa umechoka na usingependa kupoteza muda jikoni, so mlo wa chapchap unak...
Read More
Mahitaji ya wali
Mchele - 3 vikombe
Vitunguu (viliokatwa vidogo vidogo) - 2
M...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa)
Hamira kijiko 1 cha chai
<...
Read More
Mahitaji
Mchele - 3 vikombe
Samaki Nguru (king fish) - 5 vipande
Vitunguu - 2...
Read More
Mahitaji
Maharage yaliyochemshwa kiasi
Spinach zilizokatwa kiasi
Vitunguu maji ...
Read More
Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya.
Aina nyingi za soda zina kafeini ambay...
Read More
Mahitaji
Nyama - 2 Ratili (LB)
Chumvi - kiasi
Mafuta - 1 Kikombe
Samli ...
Read More
Mahitaji
Mchele wa basmati - 3 Vikombe
Dengu - 2 vikombe
Viazi - 3 vikubwaRead More
Mahitaji
Ndizi mbichi - 10-12
Nyama ngβombe - 1 kilo moja
Kitunguu maji - 2...
Read More
Mahitaji
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1...
Read More
Mahitaji
Unga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)
Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)
H...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!