Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_cd5164396f55337e242815efaa8b6bf0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Madhara ya kula yai bichi
Date: July 2, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.
Vijidudu ya βSalmonellaβ vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI.
Pia yai bichi lililowazi linaweza kuwa zalio zuri la vimelea vya maradhi mbalimbali. Inashauriwa kupika yai mpaka liive kabisa, na kuhakikisha kwamba hakuna ute unaoteleza.
Kama ni yai la kuchemsha, lichemshwe kwa dakika kumi zaidi baada ya maji kuchemka. Pia ni muhimu kuhakikisha kwamba vyombo vilivyotumika k u k o rogea yai bichi vinaoshwa kwa maji na sabuni kabla ya kuvitumia tena kwa matumizi mengine ili kuepuka maradhi.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_cd5164396f55337e242815efaa8b6bf0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mahitaji
Samaki
Spinach
Bilinganya
Nyanya ya kopo (Kopo 1)
Vitunguu m...
Read More
Mahitaji
Kabichi 1/2 kilo
Nyanya ya kopo 1/2
Kitunguu 1
Curry powder 1/2 k...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga 300gm
Siagi 225gm
Icing Sugar 60gm
Chokoleti iliyokoz...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga 2 Β½ gilasi
Sukari ΒΎ gilasi
Samli 1 gilasi
Mayai 2Read More
Mahitaji
Slice za mkate 6
Mayai 3
Chumvi
Olive oil
Matayarisho
...
Read More
Upishi na Maboga: Yenye Virutubisho na Ya Kuvutia π₯¦π₯π₯
Habari za leo wapenzi wa up...
Read More
Mahitaji
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga vikombe 2
Sukari ya kusaga 1/4 Kikombe
Siagi 250 gms
...
Read More
Mahitaji
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Read More
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.
Mahitaji
Majani ya ...
Read More
Upishi wa Afya kwa Ajili ya Afya ya Moyo: Kitamu na Kilainishi πππ½
Leo, tutazungu...
Read More
Mahitaji
Nyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kilo
Maharage - 3 vikombe
Mahin...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!