Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotini iliyomo kwenye sigara
husababisha mtu kuwa mtu tegemezi.

Je, sigara ni mojawapo ya dawa za kulevya?

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!