Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na
kushindwa kujizuia na vishawishi vya kufanya mapenzi. Pombe
huwafanya watu kustarehe, kuwa wazembe na kushindwa kutoa
maamuzi ya busara kutokana na kutojali. Ndiyo maana kuna
uhusiano sana kati ya maambukizo ya VVU na ulevi wa kupindukia.

Kwa nini wanaume wengi hupenda kufanya mapenzi baada ya kulewa; na wasichana wengi hupatwa na vishawishi?

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!