Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya.

Uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!