Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hii ni pamoja na dawa ambazo zimethibitishwa na daktari kuwa zisitumike kwa matibabu. Kwa Tanzania βgongoβpia ni haramu.
Polisi akimkamata mtu anayekwenda kinyume na sheria, humpeleka mtu huyo mbele ya vyombo vya sheria na atahukumiwa ikithibitika kuwa ana hatia. Sheria i inatoa adhabu kali kwa makosa yanayohusiana na dawa za kulevya. Faini ya shilingi milioni 10 za Kitanzania au kifungo cha maisha au vyote kwa pamoja.

Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!