Sidebar with Floating Button
AckySHINE Katoliki
AckyShine

Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa

Featured Image

Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake.

Hivyo basi huyo anayetaka kuwa na wewe jiulize maswali haya juu yake;

1. Je anamtambua Mungu na kuishi maisa ya kumpendeza Mungu, katika matendo yake na maneno yake?
2. Je huyo mchumba wako yupo tayari kukusaidia wewe kufikia malengo yako katika maisha?
3. Je huyo mchumba wako anakuheshimu na kukusikiliza au mtu anayekudharau?
4. Je mchumba wako anakushirikisha kila jambo kuhusu maisha yake na pia kuwa na utayari wa kupokea mawazo yako?
5. Je mchumba wako ana mawasiliano na wewe kwa kiasi kikubwa na kukujulia hali mara kwa mara?
6. Je mchumba wako yupo tayari kujitoa kwa ajili yako kwa hali na mali ili kufikia malengo yenu ya pamoja?
7. Je unatambua mazuri na mapungufu ya mchumba wako, hasa tukitambua hakuna mtu ambaye ni mkamilifu na namna gani mnasaidiana katika madhaifu yenu
8. Je mchumba wako ni msikivu au ni mtu ambaye anapoamua jambo ndilo analotaka hawezi kukusikiliza wala kupokea mapendekezo yako?
9. Je mchumba wako ni mwaminifu na anajitunza kwa ajili yako wewe tu au ni mtu ambaye haeleweki heleweki?
10. Je mchumba wako yupo tayari kukusamehe unapomkosea au kuomba msamaha anapokosea, au ni mtu mbishi
Haya ni mambo machache ambayo ni lazima kuyatafakari kuhu mchumba wako kama anakufaa kuunga naye NDOA? Usikurupuke.

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kiroho na Kuweka Msingi wa Imani katika Familia Yako

Familia ni... Read More

Jinsi ya Kushinda Changamoto za Ndoa

Jinsi ya Kushinda Changamoto za Ndoa

Kushinda changamoto za ndoa na mke wako ni muhimu katika kudumisha uhusiano imara na wenye furaha. H... Read More
Je, inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ngono/kufanya mapenzi kwa mwenza wako?

Je, inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ngono/kufanya mapenzi kwa mwenza wako?

Karibu kwenye makala hii kuhusu swali la iwapo inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ... Read More

Jinsi ya Kusimamia Fedha pamoja na Mke wako

Jinsi ya Kusimamia Fedha pamoja na Mke wako

Kusimamia fedha pamoja na mke wako ni muhimu katika kudumisha hali nzuri ya kifedha na kuepuka migog... Read More
Kukabiliana na Mazoea ya Kutowajibika katika Familia: Kuweka Nafasi ya Ushiriki na Ushirikiano

Kukabiliana na Mazoea ya Kutowajibika katika Familia: Kuweka Nafasi ya Ushiriki na Ushirikiano

Mazoea ya kutowajibika katika familia ni kitu ambacho kinaweza kusababisha migogoro kati ya wanaf... Read More

Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume

Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume

1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.

3. N... Read More

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya ushiriki wa kisiasa na kuleta mabadiliko katika jamii

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya ushiriki wa kisiasa na kuleta mabadiliko katika jamii

Leo tunajadili jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu masuala ya ushiriki wa kisiasa na kulet... Read More

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na hofu na wasiwasi katika uhusiano na mpenzi wako

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na hofu na wasiwasi katika uhusiano na mpenzi wako

Hofu na wasiwasi ni hisia za kawaida katika uhusiano wowote, na ni muhimu kujifunza jinsi ya kuziele... Read More
Jinsi ya Kusaidiana katika Kujenga Ustawi wa Kihisia na mke wako

Jinsi ya Kusaidiana katika Kujenga Ustawi wa Kihisia na mke wako

Kusaidiana katika kujenga ustawi wa kihisia na mke wako ni muhimu katika kuimarisha uhusiano wenu na... Read More
Kukabiliana na Mazoea ya Kutowasiliana katika Mahusiano: Kujenga Mawasiliano ya Kina

Kukabiliana na Mazoea ya Kutowasiliana katika Mahusiano: Kujenga Mawasiliano ya Kina

Mahusiano ni kitu muhimu sana katika maisha yetu. Kupitia mahusiano tunapata faraja, upendo, na m... Read More

Uko karibu zaidi na wazazi wako au ndugu zako?

Uko karibu zaidi na wazazi wako au ndugu zako?

Karibu ndugu na wazazi ni jambo muhimu sana katika maisha yetu. Inaweza kuwa ngumu kufikiria ni n... Read More

Kuunda Mipango na Kusimamia Malengo ya Familia Yako

Kuunda Mipango na Kusimamia Malengo ya Familia Yako

Leo hii, tunazungumzia kuhusu jinsi ya kuunda mipango na kusimamia malengo ya familia yako. Ni mu... Read More

📘 About 🔒 Login 📝 Register 📞 Contact