Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.
1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.
2. Ukimpata geniusโฆyuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno
3. Ukimpata tajiriโฆhawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutajiโฆhana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha
5. Ukimpata mnyenyekevuโฆmfukoni huwa 0%.
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhatiโฆanakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.
7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.
8. Ukimpata yule smartโฆni muongo to the maximumโฆ na player
So listen to your heartโฆโคโค, na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.
Kwa nini kulilia watu perfect??
No comments yet. Be the first to share your thoughts!