Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Hii ndiyo bongo sasa!!

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Hii ndio Bongo

Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.

MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi….kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic .

BINTI: Mi naitaka hii

MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard

MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee

MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lako…

Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.

MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano.

MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.

πŸ’¦πŸ˜†πŸ’¦

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 253

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Joseph Kiwanga Guest Jul 19, 2024
Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! πŸ’°
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 8, 2025
kama bibi herufi zote zinafanana kwanini nababu asiitwe bubu
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 7, 2025
sikia mistar hii?
siwanajita bata zari sasa mi nikuku asari ukiona kobe kainama ujue anatunga mistari
toka kitambo maisha yaleri yani hari sio shwari
yani mambo nimagum shule bila daftar
kunawengine wakokaribu sisi bado tukombar
maisha bwana yanachanganya nibalaa utakuta mtu anahela saf konekshen zake kilasiku yukobaa lakin bado haitosh anamkufuru jaa ety anahari ngum daa
nahuku anamajumba makar magari yakifahari naanasahu kuwa kunawatu hawalali ndani wanachumia tumbo hawana ata makazi kweli maisha fumbo mungu ampa amtakae labda iwe gwalide tubadilishane zamu mateso tunayopitia watoto wakimasikini hata mtu mzima tajiri hawezi kuhimiri desh. desh. desh....
onyo usicopy bila ridhaa yangu nicheki 0681305278
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 6, 2025
habari. mTanzania.
naitwa abu nitajiri. waupendo nimaskini. wachuki.
uhari gani ndugu
kwaware wote nirio wakosea napenda kuomba radhi kwamana tunaenda kuuvua mwaka 2025 nakuuvaa mwaka 2026 hivyo yamwaka 2025 yaache nauyavae yamwaka 2026 hivy ndugu kama kunamtu mliwahi kukwazana mtumie ujumbe huu katika safar yamaisha yako jaribu kufanya mabadiliko kwakila hatua unayo jongea mana chuki niadui wamaendeleo utapoleta mambo mabaya yamwaka 2025 kwenyemwaka 2026 itakuwa haina mana yamwaka mpya
waombe radhi wote wanao kuchukia kwabaraka za mwaka 2026
nawale uwapendao kama namimi nimo nijibu yes. hapa 0681305278 kira atakae kubariki abarikiwe nakila atakae kuraani nae araniwe
:
ujumbe hu nimeuwanika tarehe 6/12/2025 hasante
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
ABU MAHEMBE muziki kibao kinaitwa WABAYA skia ..
kimwana napambana iwe usiku iwe mchana
walimwengu kwawaganga kwangu mikosi nanyingi lana nikipi nilichowakosea mi nakumbuka
mamalisema mwanangu kuwa utayaona ndohaya najionea nababa nae
akakoleeza. nenda zako ukitenda wema walimwengu hatuna jema siwana taka niteketeza walimwengu nilegezee!!
kwel asiefunza namama hawa walimwengu darasa walah tena wanakondesha !! waneza
ficha ukweli uliowazi wakafichuwa uwongo ulojificha walimwengu kamera utapigwa picha kuwa nao makini hilo nakupa hutoweza wote kuwalizisha waliwalizishe wachache utaoweza kumbuka binadam hapendwi nawote ..? mistar haijaisha
0681305278 bres mi
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
ABU MAHEMBE muziki kibao kinaitwa WABAYA skia ..
kimwana napambana iwe usiku iwe mchana
walimwengu kwawaganga kwangu mikosi nanyingi lana nikipi nilichowakosea mi nakumbuka
mamalisema mwanangu kuwa utayaona ndohaya najionea nababa nae
akakoleeza. nenda zako ukitenda wema walimwengu hatuna jema siwana taka niteketeza walimwengu nilegezee!!
kwel asiefunza namama hawa walimwengu darasa walah tena wanakondesha !! waneza
ficha ukweli uliowazi wakafichuwa uwongo ulojificha walimwengu kamera utapigwa picha kuwa nao makini hilo nakupa hutoweza wote kuwalizisha waliwalizishe wachache utaoweza kumbuka binadam hapendwi nawote ..? mistar haijaisha
0681305278 bres mi
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
ABU MAHEMBE muziki kibao kinaitwa WABAYA skia ..
kimwana napambana iwe usiku iwe mchana
walimwengu kwawaganga kwangu mikosi nanyingi lana nikipi nilichowakosea mi nakumbuka
mamalisema mwanangu kuwa utayaona ndohaya najionea nababa nae
akakoleeza. nenda zako ukitenda wema walimwengu hatuna jema siwana taka niteketeza walimwengu nilegezee!!
kwel asiefunza namama hawa walimwengu darasa walah tena wanakondesha !! waneza
ficha ukweli uliowazi wakafichuwa uwongo ulojificha walimwengu kamera utapigwa picha kuwa nao makini hilo nakupa hutoweza wote kuwalizisha waliwalizishe wachache utaoweza kumbuka binadam hapendwi nawote ..? mistar haijaisha
0681305278 bres mi
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
"TANGAZO
"TANGAZO
mimi nikiwa kama rais wamyoyo napenda kuwatangazia kuwa kwanzi leo moyo umestafu kazi nanafasi hiyo ataishika figo samahani sana kwausumbufu utakao jitokeza najuwa ningum kumwambia mpenz wako
figo langu limetokea kukupenda ila mtazea2 moyo umeteseka sana
kila ki2 moyo
ila inatosha ninzam yafigo
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
sikia mashaili aya kipaji kipo muziki
ilikuwa mida yasasaba mchanaa!! nimejipumnzisha mama akanituma
niende sokon kununua nyama m
maisha yanyumbani! nimagu bwanaa mm nilipata mshituko nilivosikia nyama wakati nikoo njiani.. naelekea sokoni nanuka umasikini kwambele nikaona pochi nikatazama huku nahuku. sikuona mtu nikaanza kutembea nikienda mbele ili nikaiyokote nilivo ikagua noti noti ndo zimejamule nikahairisha nyama nikaenda nunua gar michele maunga mambo yote shwari nkapg nguo nzur nayangu miwani nikamwita bodigadi nadereva wagar wafanye kazi yao wanipeleke nyumbani ire kufika nyumbani dereva akapg honi nika shuka kwamaringo huku nikitabasam natembea kama m.bunge nyumangu bodigadi mara nikasikia abu amka ule ire kuche niugari namrenda mrendaa yani kumbe yote ilikuwa NDOTO NDOTOO NDOTO
daa ira ndoto apa ndo naamka usingizini 0681305278
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
muziki singer soma mistar hii sikia
oo baba oo mama simama ngangar dunia yasasa so yazamani usipojibeba unategemea akubebe nani sawa umekosa ajira sasa lawama upeleke kwanani majaribu yamungu hayana mipaka iro tia kichwani binadam mwenzako hawezi pangua alichopanga manani unachofer binadam hauna imani usiposhika lamungu binadam atakupa nini acha tusote tumemsahau mungu jamani duniani tumefata pesa ukijiuliza haiingii kichwani. tumesahau kusudio tumesahau matalajio
endelea kumtegemea binadam mwenzako havitaisha ivyo vilio fanya kazi apa nimwendo wakujituma umekaa ndan ety ajira hakuna siiunaza hata madazi msikie ety anaguna oya usichague kazi maisha nisafar usikubar kusimama ndoto zitaishia njiani umezaliwa kupambana utapofeli mitihani nani wakumtupia lawama kuwa makini namaisha kwani maisha nidarasa utapoferi mitihani utabaki humwo humwo 0681305278
sapot jamani kipaji kipo ety
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
USIMFUKUZE KUKU HARUSINI NYOTE MMEFATA WARI !!
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 5, 2025
UTAKUTA KUNARIMTU RINASURA MBAYA HADI RIKIJICHEKI KWENYEKIYOO RINAJIOGOPA
ha ha ha !!^_^
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 4, 2025
:LOVE end x
1.UPENDO wangu kwako ulikuwa kama bahali sijui umewezaje kukauka
2.upendo wangu kwako ulikuwa kama chakula sijui taishije bila kula
3.we ndoulikuwa dereva walangu gari umeondoka tapata ajari
nikosagani lisilosameheka kwako ingar hata mungu anasamehe....
haya unaetaka kuludiana na ex wako nicheki nikupe swaga
0681305278
utachangia 5000
ee mana ukosefu waswaga uwo niugonjwa mimi kama daktar siwezi kukutibu bule sawa
mwanzo mlidanga nyana ety mapenzi yenu nibahari sasa yamekauka sijui nibahari yawapi iyo
abu by
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 4, 2025
".yani".wemjinga".
dem.amekuja geto kwako amesukwa ameva amependeza nahaukumpa hata mia alafu we unakalia kusema waao waao waao? naatakuwa wao kwel
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 4, 2025
yanii! wanaume niwajinga sisi yani unaitwa my unakubali yani may jina lakike
baby mtoto
unakubali
hani unakubali my chokret unakubali
bado my choko nayo tukubali mpenz wangu mwanzo alikuwa ananita my tumeachana ananita we chokotu nimeonganisha nimepata my choko
πŸ‘₯ Guest Guest Dec 4, 2025
TANGAZO TANGAZO
mimi nilafikiake mwenye sm najua mlimzowea na mlipenda sana
ABU
lakini mungu
kampenda
zaidi
AMETANGURIA
MBERE za
::
AMENDA Aport
kupanda ndege anaelekea zake amerca kutaza mechi live

nyooo ukajua amekufa ameenda malekani
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 13, 2025
ABU MAHEMBE
mtoto kamwambia mamayake mama naomba niangarie tivii mama akamjibu angaria ira usiwashe
πŸ‘₯ Agnes Sumaye Guest Jul 15, 2024
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 13, 2025
ABU MAHEMBE
Lizki nilizki tu
Shehe mmoja alipokuwa anatoka msikitini
Akaona kitamba kizulii kama kimefungwa nakitu ndani yake akikichukua nakufungua akakuta zahabu.
Akakikunja vilevile nakukiweka pale pale akaenda kwake nakumuadisia mkewe mkewangu leo wakati napita pale pamoja naile nembo nimeogota zahabu mke akastuka tumekuwa matajili tumekua matajili mmewangu ikowapi mme akajibu sikufanikiwa kuileta mkewangu hawezi juwa inavitu gani mke akalamika akafoka yani a a hatakama ndo shehe unaacha utajir unauwona hapana wemwanaume mume akamjibu kama niliziki itakuja hapahpa ndani mkea analiatu umeacha utajili naizi shidazetu hapana
Kumbe wakati wanaongea kunawaizi walikuwa banda lakuku wanaiba kuku wakaskia wakatoka mbio kwenda nembo alipofika wakakuta kile kitambaa kukifungua wakakuta mavi wakasema ahaaa yule mpuz alijisemesha vile ili tutoke itakuwa alikuwa ashatuona sasa tunaenda kumtupia maviake palepale kwake wakaenda paka nyuma yanyumba yyule shehe wakapitisha kilivondoka shehe kuangalia nizahabu
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Jun 16, 2024
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! πŸ˜…
πŸ‘₯ Omari Guest May 31, 2024
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ Rubea Guest May 11, 2024
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Henry Sokoine Guest Apr 20, 2024
Nimefurahia sana hii! πŸ˜…πŸ˜Š
πŸ‘₯ Peter Mugendi Guest Apr 5, 2024
Hizi jokes zinabamba sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Frank Macha Guest Mar 12, 2024
Hii joke imenikumbusha enzi zile! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Mary Kendi Guest Feb 11, 2024
Mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Stephen Kangethe Guest Feb 5, 2024
πŸ˜‚ Nimeipenda kabisa hii!
πŸ‘₯ Stephen Kangethe Guest Feb 1, 2024
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Esther Cheruiyot Guest Jan 17, 2024
🀣 Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Dec 15, 2023
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
πŸ‘₯ Mariam Guest Dec 11, 2023
🀣 Kichekesho bora kabisa!
πŸ‘₯ Nicholas Wanjohi Guest Dec 5, 2023
πŸ˜ƒ Hii imenichekesha kwa sauti kweli!
πŸ‘₯ Stephen Kikwete Guest Dec 3, 2023
πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Edith Cherotich Guest Dec 1, 2023
Nimefurahia hii sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Grace Majaliwa Guest Dec 1, 2023
Hii imenibamba sana! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Nov 18, 2023
πŸ˜„ Umeshinda mtandao leo!
πŸ‘₯ Anthony Kariuki Guest Nov 15, 2023
πŸ˜‚πŸ˜†
πŸ‘₯ George Wanjala Guest Nov 12, 2023
πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Halima Guest Nov 9, 2023
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! πŸ˜†
πŸ‘₯ Selemani Guest Nov 2, 2023
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! ⏰
πŸ‘₯ Wande Guest Oct 17, 2023
πŸ˜„ Dhahabu ya vichekesho!
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest Sep 19, 2023
Huu ucheshi hauna kifani! 🀣πŸ”₯
πŸ‘₯ Tabu Guest Sep 11, 2023
🀣 Hiyo punchline ilikuwa haikutarajiwa!
πŸ‘₯ Simon Kiprono Guest Aug 17, 2023
Haha, hii ni kicheko bora zaidi nilichopata wiki hii! 😁
πŸ‘₯ John Mwangi Guest Aug 3, 2023
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Rehema Guest Aug 2, 2023
πŸ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
πŸ‘₯ Lydia Mutheu Guest Jul 19, 2023
Hii ni bomba sana! πŸ€£πŸ‘
πŸ‘₯ Ruth Mtangi Guest Jul 15, 2023
Sikutarajia hiyo punchlineβ€”kichekesho! 🀣
πŸ‘₯ Mwalimu Guest Jul 4, 2023
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜„
πŸ‘₯ Victor Kimario Guest Jun 13, 2023
Nimependa hii! Endelea kuzileta! 😁
πŸ‘₯ Ruth Kibona Guest May 3, 2023
Hii imenikuna sana! πŸ˜†πŸ˜…
πŸ‘₯ Mwinyi Guest Apr 16, 2023
πŸ˜… Bado nacheka!
πŸ‘₯ Mwakisu Guest Apr 9, 2023
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hiki, asante!
πŸ‘₯ Peter Mwambui Guest Apr 5, 2023
Kweli mnajua kuchekesha watu! πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ Rose Kiwanga Guest Apr 5, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Agnes Njeri Guest Apr 1, 2023
Nimecheka hadi nimesahau shida! πŸ€£πŸ˜†
πŸ‘₯ Rose Kiwanga Guest Mar 18, 2023
Hii ni joke ya kipekee! πŸ€£πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Fikiri Guest Mar 17, 2023
🀣 Hii imewaka moto!
πŸ‘₯ Joseph Mallya Guest Mar 15, 2023
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Margaret Mahiga Guest Mar 9, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About