Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/katoliki/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Unyanyasaji wa kijinsia

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawaida unajulikana kama matumizi ya makusudi ya kutumia nguvu na uwezo na kutishia au kwa hali halisi kinyume cha mtu au kikundi au jamii ambapo matokeo yake yanaweza kuleta jeraha au kifo, kuumia kisaikilojia, kutokukua au kudumaa.7 Chini ya sheria za Tanzania8 unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na maneno, sauti ishara au maonyesho ya sehemu za mwili kwa makusudi kinyume na matakwa ya mtu. Hakuna mtu anayeruhusiwa kujamiiana nawe bila ya ridhaa yako, maana hii itakuwa ni ubakaji. Kumlazimisha mtu kujamiiana nawe kwa kubadilishana na zawadi au kumpa kazi ni unyanyasaji wa kijinsia. Kadhalika hakuna mtu anayeruhusiwa kushika viungo vya siri vya uzazi, au kukupiga busu bila ya ridhaa yako. Tendo la ukeketaji ni aina nyingine ya ukatili wa kijinsia. Aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na kumwita mtu majina, kumlazimisha mtu kuvua nguo mbele za watu au kumlazimisha mtu kujamiiana na mtu mwingine. Fikiria kwamba unyanyasaji wa kijinsia ni tendo baya kwa haki za binadamu na unasababisha maumivu kwa wahusika. Tukumbuke kwamba uhusiano wa kimapenzi na watu waliokaribu nasi kwa mfano baba, mama, kaka, dada, babu au bibi ni aina nyingine ya unyanyasaji wa jinsia. Inajulikana kama kujamiiana kwa maharimu β€œincestβ€œ na inakatazwa kisheria.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Leo, tunazungumzia mbinu za kupata tarehe na wasichana kwa mafanikio. Kila mtu anataka kuwa na mp... Read More

Je, Tanzania kuna Albino wangapi?

Je, Tanzania kuna Albino wangapi?

Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakuna
aliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana ... Read More

Kwa nini mara nyingi mvulana ni mwepesi sana katika kuanzisha kufanya mapenzi? Na kwa nini mwanaume mara nyingi anafikia mshindo kabla ya mwanamke? Mwanaume anawahi kufika kileleni kwa nini?

Kwa nini mara nyingi mvulana ni mwepesi sana katika kuanzisha kufanya mapenzi? Na kwa nini mwanaume mara nyingi anafikia mshindo kabla ya mwanamke? Mwanaume anawahi kufika kileleni kwa nini?

Kwa kawaida i inakubalika kuwa wavulana ndiyo waaanze kuonyesha ishara za kujamiaana na tafiti zi... Read More

Je, mvulana atajuaje kama msichana ni bikira? Na pia, msichana anaweza kujitambua vipi kama ni bikira?

Je, mvulana atajuaje kama msichana ni bikira? Na pia, msichana anaweza kujitambua vipi kama ni bikira?

Mvulana hawezi kuthibitisha ubikira wa msichana kwa njia ya kumwangalia wala kwa njia ya kumwingi... Read More

Magonjwa ya zinaa yanavyoenea

Magonjwa ya zinaa yanavyoenea

Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mt... Read More

Jinsi ya Kuepuka Kujihusisha na Ngono Kwa Shinikizo la Wenzako

Jinsi ya Kuepuka Kujihusisha na Ngono Kwa Shinikizo la Wenzako

Jinsi ya Kuepuka Kujihusisha na Ngono Kwa Shinikizo la Wenzako

Habari kijana! Leo tunajadi... Read More

Ubakaji ni nini?

Ubakaji ni nini?

Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake... Read More

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono 😊

Karibu kwenye makala hii nzuri... Read More

Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?

Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?

Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya s... Read More

Je, ni sahihi kutumia michezo ya ngono/kufanya mapenzi kama sehemu ya uhusiano?

Je, ni sahihi kutumia michezo ya ngono/kufanya mapenzi kama sehemu ya uhusiano?

Je, ni sahihi kutumia michezo ya ngono/kufanya mapenzi kama sehemu ya uhusiano? Hili ni swali amb... Read More

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni... Read More

Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano Mazuri ya Simu na Msichana

Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano Mazuri ya Simu na Msichana

Kama una nia ya kuimarisha uhusiano wako na msichana, ni muhimu kuwa na mawasiliano mazuri ya sim... Read More

πŸ“– Explore More Articles | ✍🏻 Re-Write Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About